Mambo ya kuzingatia unapotaka kufungua *kampuni* au *Jina la Biashara*, vikundi au NGO
KUNA idadi kubwa ya watu wanapenda kufungua kampuni au jina la Biashara. Hata hivyo kila kitu kinahitaji ujuzi/uzoefu katika kukifanya kwa ufasaha. Ndio sababu Dismas Lyassa, Mhariri wa muda mrefu wa Biashara na Uchumi na Mshauri wa Biashara, kwa muda mrefu sasa amekuwa akiwasaidia Watanzania wenzake kuwapa mwongozo wa kufungua kampuni kuanzia kuandaa Memorandum/katiba hadi usajili.
Unapotaka kusajili kampuni unahitaji kuwa na vitu vifuatavyo:
1. NAMBA ya Kitambulisho cha URAIA
2. Mawasiliano (Email, Namba ya simu, Po box na Location kwamba uko karibu na Dismas Lyassa Supermarket,uko karibu na Shule ya Sekondari Dismas Lyassa nk.Inahitajika pia location ya wamiliki, wanaishi wapi karibu na nini,mfano barabara fulani,jengo fulani, Serikali ya mtaa nk)
3. Pesa ya kukamilisha usajili kwa maana ya kulipia usajili.
4. Memorandum and Articles of Association.
Ni vizuri ikafahamika kuwa DISMAS LYASSA SIO WAKALA WA BRELA, isipokuwa ana ufahamu kuhusu uandishi wa memorandum na masuala ya usajili na taratibu zake. Kama unahitaji kusaidiwa mchakato wa kusajili, wasiliana nae kupitia 0754498972. HAIJALISHI UKO MKOA GANI, DUNIA SASA IMEKUWA KIJII, UTAHUDUMIWA TOKA ULIKO.
Mahitaji kwa usajili wa BUSINESS NAME:
1.Namba ya Kitambulisho cha Utaifa
2.Mawasiliano (Email, Namba ya simu, Po box na Location kwamba uko karibu na Dismas Lyassa Supermarket,uko karibu na Shule ya Sekondari Dismas Lyassa nk.Inahitajika pia location ya wamiliki, wanaishi wapi karibu na nini, mfano barabara fulani, jengo fulani, Serikali ya mtaa nk)
3. Jina unalotaka kulitumia
4.Huduma au Biashara unayotaka kuifanya
5.Pesa ya kukamilisha usajili kwa maana ya kulipia usajili.
HUDUMA TUNAZOTOA:
1.Kuandaa Memorandum and articles of association
2.Kuhakikisha inapigwa mihuri na Mwanasheria
3.Kukusaidia kujaza forms zote zinazotakiwa
na kufanya application online
KUANZISHA KIKUNDI AU NGO
Kinachohitajika ni kuandikwa kwa katiba, ambayo itaeleza malengo, wanachama wote watatakiwa kusaini,, kisha mchakato wa usajili utaanza. Tofauti ya kikundi ni kwamba inaweza kusajiliwa kwa Mkurugenzi, wakati NGO ni hadi kwa waziri husika.
KARIBU UHUDUMIWE...IKUMBUKWE KUWA HUDUMA ZINAFANYWA KWA HARAKA, UBORA
FAIDA YA KUSAJILI BUSINESS NAME
Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name). Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa jina hilo.
Nafikiri sote tumeshawahi kuona dukani mtu kaandika Kisomi Shop, Manyaupaka Shop nk, kwamba anataka watu waitambue biashara yake hivyo. Maana yake ni kwamba Business name ni jina tu la kufanyia biashara.
Lakini tunaposema Kampuni maana yake ni kama mtu, mtu ambaye anamiliki kampuni, maana yake anamiliki shughuli ambayo ina uwezo wa kumiliki mali, kudai na kudaiwa na kadhalika.
BAADHI YA FAIDA ZA BUSINESS NAME
Ukisajili hilo jina unakuwa umelifanya jina la biashara yako litambulike kisheria na kuwa rasmi (kurasimisha), maana yake ni kwamba hakuna mwingine anayeweza kulitumia jina hilo kwa namna yoyote kama lake. Ndio maana huwa tunawashauri watu kwamba jitahidi tukusaidie angalau kusajili Jina la Biashara ili uanze kulitumia jina unalotaka.
MAHITAJI ILI KUSAJILI
Mahitaji kwa ajili ya kusajili BUSINESS name ni haya yafuatayo:
1. Namba ya Nida
2. Mawasiliano (email, simu, P. O. Box na Location mfano karibu na shule, nyumba ya ibada nk
3.Biashara unazotaka kufanya zisizidi nne
This is what we do
EVENT MANAGEMENT
Creating customized events that serve to tell your brand's story to a target audience. We create customized event management solutions that communicate your brand message and increase awareness about unique products and services.
CASE STUDY OF EVENT MANAGEMENT SERVICES
Whether it's through simultaneous or consecutive live (or virtual) events, our event planning process seeks to expose our clients' products, services, and events in multiple relevant markets.
We build brands, increase awareness and boost demand. We help you grow. Communications & PR. Services: Communications and PR, Media training, Crisis & Issues
CLIENTS CASE STUDIES SERVICES
- Integrated Marketing
- Public Relations
- Strategic Planning
- Reputation Management
- Event Management
- Celebrity & Influencer Relationships
- Product Integration
- Social Media & Digital Marketing
Professional Writing Editing Services
Dismas Lyassa offers professional writing, editing, translation and proofreading services to authors, businesses, students, and individuals. He provides the highest quality of care for books (both fiction and non-fiction), papers, theses, business documents, and short stories.
Public Relation matters
Dismas Lyassa is a powerful, proactive, and passionate in our public relations efforts, and he delivers the results that his clients seek. His services raise his clients' image, sales, and bottom-line results. Each of his practice areas is made up of skilled marketing and public relations professionals.