MTAALAM WA HABARI, BIASHARA NA MAISHA ( Life & Business Coach ).                           Haijalishi uko Mkoa/Nchi gani, utahudumiwa toka uliko kwa haraka. Dunia ni kijiji.

Visit us... just click   LinkedInTwitterInstagram, Facebook

For Advertisement, Press Releases, Media Coverage, Event Publication, Genuine Stories, etc,
contact us via email: globalsourcewatch@gmail.com


HUDUMA TUNAZOTOA

  1. Tunasaidia kufanya mchakato mzima wa usajili wa Kampuni kuanzia kuandaa nyaraka zote kujaza na kufuatilia hadi cheti cha usajili, Majina ya Biashara, NGOs na vikundi. 
  2. Pia tunafuatilia vibali vya biashara, leseni nk. 
  3. Kwa ufupi tunasaidia kufanya kila kitu kinachohusiana na Kampuni na NGOS ikiwamo kuandaa Newsletters, Kuandaa mabango, Ripoti nk.

    Kwa Tanzania sisi ndio tunaoongoza kuwasaidia watu wenye kuhitaji kusaidiwa usajili wa makampuni, kufanya Annual returns, usajili wa NGOS nk, hii ni kwa sababu tumekuwa na uzoefu, hivyo huduma zetu ni za haraka

MAHITAJI KWA AJILI YA KUSAJILI KAMPUNI

1. Namba ya NIDA kila mmoja
2. Namba ya TIN ya Kila mmoja isipokuwa kwa Katibu wa Kampuni
3.Mawasiliano (Simu, Email ya Kila mmoja), Po Box ya Kampuni, eleza ofisi itakuwa karibu na nini mfano shule, ofisi ya mtaa nk
4. Jina la Kampuni, Biashara unazotaka kufanya,Mtaji unaotarajia kuanza nao, mgawanyo wa hisa nk

 ****GHARAMA ZA MOJA KWA MOJA ZA USAJILI ****
1. Kwa wenye mitaji kuanzia Tsh20,000 hadi Tsh 1ml = TSHS 167,200 /=
2. Mtaji unaozidi Tsh 1ml - Tsh 5ml = TSHS 247,200 /=
3. Mtaji unaozidi 5ml - Tshs. 20ml = TSHS 332,200/=
4. Mtaji unaozidi 20ml - 50m = TSHS367,200/=
5. Wenye mitaji zaidi ya Tsh.50ml na kuendelea = Shs512,200/=

 ******GHARAMA ZA HUDUMA KWETU*****
(Facilitation fee) ni Tsh500,000, inahusisha uandaaji nyaraka, mihuri, kujaza, kufuatilia nk hadi cheti cha usajili kinapatikana kwa haraka kadri inavyowezekana.
Fanya Malipo kupitia CRDB Bank, A/C 0112405865700,   Jina : Dismas Francis LYASSA.


We are the leading service providers in the field of facilitating Company & NGO registration...

We offer services including but not limited to:-

1. Preparation of MEMORANDUM and Constitutions

2. Tax Clearance, TIN and all taxation matters
3. Tax Clearance, TIN and all taxation matters
4. Business Licenses
5. Work Permit
6. Residential Permit
7. OSHA, WCF, NSSF
8. NEMC, TBS, TMDA etc
9. Investment Advisory
10. Investment Facilitation
11. Feasibility Studies
12. Media Studies/All MEDIA projects and related
13. Data Collection
14. Business Plan
15. Project Proposal
16. Land Acquisition
17. Filling of Annual Returns or any changes
18. Relocation services
19. Relocation services
20. Writing & Editing Services
21. Logo, Company Profile Preparation and Designing
22. Preparation of tender documents, filling TANEPS, GPSA, ZPPDA etc.

Mkurugenzi wetu (Dismas LYASSA) katika matukio tofauti

BAADHI YA SHUHUDA;

  Ukitaka kuanzisha jambo, anzisha leo; Huwezi kufanikiwa bila kuthubutu

Dismas Lyassa

Msingi wa kuwa na maisha au  biashara yenye mafanikio sio kulalamika. Bali kuchukua hatua kwa vitendo.

"Nakutia mafanikio mema kwa kila mipango iliyoko mbele yako."

MUSA CHEYO HAROON - GEITA

"Namshukuru Dismas Lyassa kwa kunisaidia hatimaye nikafanikiwa kusajili makampuni yangu manne:
1.NGURUKA MC PHARMACY
2.MHC BWERU DISPENSARY
3.MHC STAMIC DISPENSARY
4.MHC HOLDING COMPANY LIMITED
Karibuni sana kwa huduma zetu... tunapatikana Katoro, Geita karibu na Kituo cha Polisi Katoro.

FARIDA s. MGOMI, Mkuu wa WILAYA YA IREJE ambaye ni 

Mkurugenzi /
FARDIS Life & Business Coaching

"Huduma bora ndio msingi wa mafanikio.  Asante Dismas Lyassa kwa huduma nzuri. FARDIS tumejipanga kuwahudumia Watanzania"

Wille Mkandawille

Katibu / Action For SDGs

"Ni faraja kubwa kukutana na Dismas Lyassa, umekuwa mwalimu wangu, nina imani kubwa nawe. Mungu aendelee kukutumia kuwasaidia watu kwa upendo."

Dismas LYASSA ni nani? 

Ana UFAHAMU (Full Knowledge on Business Matters) na Mtandao (Network in Tanzania and outside).

Zaidi ya mambo mengine anaweza kusimamia Kampuni/Biashara yako kwa mafanikio makubwa.

Ni Mtu ambaye amewahi kuwa:

1. Mhariri wa vyombo tofauti vya habari amewahi kuwa Mhariri wa Biashara na Uchumi katika Gazeti la

Mwananchi.
Hii imemsaidia kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mazingira ya Biashara Tanzania na nchi za nje.
Dismas amewahi pia kufanya kazi IPP Media (gazeti lililokuwa likimilikiwa na hayati Reginald Mengi) kama Mwandishi wa Habari za Biashara na Uchumi gazeti la Financial Times.
Amewahi kuwa Meneja wa Kituo cha Redio cha Kili Fm kilichoko Moshi, mkoani Kilimanjaro... Anafahamu kwa vitendo namna ya kuendesha BIASHARA.


Meneja Mawasiliano (Communication Manager) wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania (SAT), Morogoro. Anaelewa nini maana ya Proposal, nini maana ya DONOR na namna ya kudeal nao.

Amewahi kufanyakazi kama Meneja Masoko, Mawasiliano Na Maendeleo katika Mradi wa kilimo uliokuwa ukiendeshwa na Balozi wa Shelisheli nchini Tanzania (African Reflections Foundation)

Amewahi pia kuwa Ofisa Mradi (Project Officer) wa Taasisi ya Uongozi na Ujasiliamali (IMED; Institute of Management and Entrepreneurship Development ) nk

Dismas Lyassa ni mtu anayefahamika kupitia habari, makala na vitabu vyake (Ameandika zaidi ya vitabu 12 kuhusu Saikolojia, Mbinu za kufanikiwa, Biashara nk).  
Ana uzoefu wa kushauri masuala ya Biashara, Maisha nk. Ametembea nchi nyingi zikiwamo Marekani, Thailand, India, Rwanda, nk kikazi, kimasomo nk. Vitu anavyofanya, ana uzoefu navyo. Dismas ni mshindi wa Tuzo kadhaa za Uandishi Bora wa Habari. 
Amesomea Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya UMMA (undergraduate), Postgraduate level amesomea Stashahada ya Uzamili katika Uongozi na Utawala, amefanya kazi nyingi kama Mhariri, Meneja Mawasiliano, Meneja Miradi, Meneja Masoko nk. Amefanya kwenye NGOs na kampuni za ndani na nje ya nchi.

Tumetoka mbali, tunahudumia baada ya kupata uzoefu kutoka ndani na nje ya nchi, tunawashukuru wote kwa kututumia

Picha zinaongea kuwa Dismas Lyassa ni mtu mbobezi wa mengi, unayeweza kushirikiana nae katika masuala mengi ya kibiashara na miradi kwa mafanikio. Ni mtu anayetuongoza vema katika kufanya shughuli hizi za kitaalam kwa ufanisi. Tunafanya shughuli ambazo tuna uzoefu nazo,tumeshasaidia wengi.

Dismas Lyassa ametembea nchi tofauti ameona mengi na anashauri kulingana na uzoefu na ujuzi.


Tuna utaalam, uzoefu na mtandao imara unaotuwezesha kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa; Karibu tukuhudumie.
Tupigie au tuma ujumbe kwa WhatsApp : 0754 49 89 72
 Email : globalsourcewatch@gmail.com

© 2001 DISMAS LYASSA
GLOBAL SOURCE WATCH
Powered by Webnode Cookies
Create your website for free! This website was made with Webnode. Create your own for free today! Get started